EATV wazindua ‘EATV AWARDS’
East Africa Television LTD leo imezindua tuzo kubwa Afrika mashariki zilizopewa jina la 'EATV AWARDS'. Meneja Mauzo na Masoko wa East Africa Television LTD, Bw. Roy Mbowe amesema tuzo hizo…
East Africa Television LTD leo imezindua tuzo kubwa Afrika mashariki zilizopewa jina la 'EATV AWARDS'. Meneja Mauzo na Masoko wa East Africa Television LTD, Bw. Roy Mbowe amesema tuzo hizo…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameziagiza hospitali zote za rufaa nchini ngazi ya Mikoa, Kanda na Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa matibabu bure…
Yanga SC na Azam FC leo zinashuka dimbani kucheza mechi ya ngao ya jamii kuashiria kuanza kwa ligi kuu Tanzania Bara ambapo mechi hiyo itafayika katika uwanja wa Taifa Jijini…
Lebo maarufu ya muziki nchini Marekani, Cash Money inayoongozwa na msanii Birdman imesaini mkataba na kampuni ya music ya Apple kwa ajili ya kusimamia kazi zao zote za muziki. Mkataba…
Ndege za kivita za Urusi kwa mara ya kwanza zimeanza kutumia ngome yake ya ndege za kijeshi iliyopo Iran kuwashambulia waasi nchini Syria. Hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa…
Golikipa wa Tottenham, Hugo Lloris anatarajia kukaa nje ya uwanja kwa wiki nne baada ya kuumia nyama za paja kwenye mechi dhidi ya Everton iliyomalizika 1-1 katika uwanja wa Goodson…
Jeshi la Polisi limekusudia kuwachukulia hatua za kisheria wasanii wa kundi la Orijino Komedi kwa kuvaa sare zinazofanana na sare za jeshi hilo kwenye harusi ya mchekeshaji mwenzao Emmanuel Mgaya a.k.a 'Masanja…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amesitisha malipo ya posho za kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini ambao wanaofanya mafunzo kwa vitendo baada ya kubaini…
Polisi nchini Zambia wamewakamata watu 133 wanaopinga kuchaguliwa tena kwa rais Edgar Lungu baada ya mpinzani wake mkubwa, Hakainde Hichilema kudai kuwa chama cha Lungu kiliiba kura. Maandamano hayo yamezuka…
Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama barabara nchini kimefanya msako maalum wa kuyakamata mabasi ya abiria yanayofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Chalinze na Msata ambao hukatisha ruti.…
Staa wa Hip-Hop nchini, Young Killer amefunguka kwa kusema kati ya wasanii wenzake wenye umri kama wake Dogo Janja na Young Dee anamkubali na kumuelewa zaidi Dogo Janja. Staa huyo…
Serikali ya Marekani imetangaza kuwapeleka wafungwa 15 waliokuwa kwenye gereza la Guantanamo Bay kwenye nchi za Falme za Kiarabu kwenye kipindi cha uongozi wa rais Barack Obama. Kuachiwa kwa wafungwa…
Mcheza Judo wa Misri Islam El Shehaby amerudishwa nyumbani kutoka kwenye mashindano ya Olimpiki yanayoendela nchini Brazil baada ya kukataa kumpa mkono mpinzani wake kutoka nchini Israel, Or Sasson baada…
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Soka mkoani Kagera (KRFA) baada ya kupata kura 21 kati ya 22. Uchaguzi huo…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Malaika Exervery 'Malaika' amesema kwamba katika vitu ambavyo aviwezi kutoweka kichwani kwake ni baada ya kutapeliwa nchini China katika jiji la Hong Kong nchini humo. Staa…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi ramani ya jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), ikiwa ni ahadi ya kuwajengea…
Mwanariadha wa Kenya, David Rudisha amefanikiwa kutetea ubingwa wake wa mbio za mita 800 kwenye mashindano ya Olimpiki yanayoendela nchini Brazili. Rudisha ambaye alitwaa medali ya dhahabu jijini London, mwaka…
Staa wa miondoko ya dansi nchini, Christian Bella amezungumzia sababu zinazomfanya aweze kumsimamia mwanamuziki mwingine huku akisisitiza ni lazima awe na uwezo wa kuimba. Staa huyo amesema msanii anayemsimamia anataka…
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo amesema serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuwafutia umasikini watanzania ikiwa ni pamoja kwa kuwafikishia umeme katika maeneo yote ya vijijini. Muohongo:…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene amewataka wakuu wa wilaya wastaafu ambao hawakuteuliwa katika kipindi cha awamu ya tano, kutosikitika na…
Upinzani nchini Zambia umeshutumu mamlaka ya uchaguzi kwa mipango ya kumpendelea Rais Edgar Lungu na kusema watapinga matokeo hayo katika Mahakama ya Katiba. Rais wa Zambia, Edger Lungu jana ametangazwa…
Mshambuliaji wa Ujerumani, Lukas Podolski ametangaza kustaafu soka la kimataifa baada ya kuitumikia timu hiyo kwa miaka 12. Mchezaji huyo alianza kuichezea timu ya taifa ya Ujerumani toka mwaka 2004…
Magoli kutoka kwa Eden Hazard na Diego Costa yametosha kuipa ushindi Chelsea baada ya kuifunga West Ham United 2-1 kwenye mechi ya kwanza ya ligi kuu nchini Uingereza iliyofanyika katika…
Winga wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Yannick Bolasie amejiunga na Everton kwa dau la paundi milioni 28 akitokea Crystal Palace. Balasie amesaini mkataba wa miaka mitano kuitumikia klabu hiyo…
Kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) inatarajia kuingiza nchini ndege zake mpya mbili mwishoni mwa mwezi ujao. Kwa mujibu wa kampuni hiyo ujio wa ndege hizo utaleta mapinduzi makubwa kihuduma na…
Staa wa Bongo Fleva, Harmonize amesema kitendo cha Dully Sykes kumpigia simu na kumwambia anataka kumshirikisha katika kazi yake kilimfanya aone fahari sana. Staa huyo amesema kipindi anapigiwa simu na…
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, imesema imeandaa mkakati maalum wa kuwafuatilia wamiliki wa nyumba waliozipangisha kama nyumba za kuishi au kwa ajili ya biashara ili kuwabaini wanaokwepa kulipa kodi. Mkurugenzi…
Mwanamuziki wa miondoko ya mduara nchini, Ally Tall 'AT' amemwandikia maneno ya dharau na lawama msanii mwenzake wa Bongo fleva, Peter Msechu kupitia ukurasa wake wa instagram. Mkali huyo wa…
Mechi ya ligi kuu leo jumatatu Agosti 15 Chelsea vs West Ham saa 4:00 usiku Matokeo ya mechi 5 za mwisho za Chelsea na West Ham United kabla ya mechi…
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungulia mwanamuziki wa Bongo fleva, Emmanuel Elibarik 'Nay wa Mitego' kuendelea na kazi zake za muziki baada ya kutekeleza adhabu na masharti aliyopewa na…