Cassie na Diddy wamaliza tofauti zao
Muigizaji maarufu nchini Marekani, Cassie ameamua kurudiana na mpenzi wake staa wa hip hop, P. Diddy baada ya kumwagana kwa ugomvi mzito siku chache zilizopita. Taarifa ya kurudiana kwa wapenzi…
Muigizaji maarufu nchini Marekani, Cassie ameamua kurudiana na mpenzi wake staa wa hip hop, P. Diddy baada ya kumwagana kwa ugomvi mzito siku chache zilizopita. Taarifa ya kurudiana kwa wapenzi…
Ligi kuu nchini Uingereza leo inaendelea ikiwa ni mzungo wa tatu toka ligi hiyo maarufu dunia ianze mwezi huu. Leo kutakuwa na michezo 8 ikichezwa katika viwanja tofauti nchini Uingereza…
Wabunge wa Uganda waliokuwa safarini kikazi nchini Afrika Kusini wamelalamika kuvamiwa na vibaka na kuporwa mali zao ikiwemo hati za kusafiria. Wabunge waliokumbwa na mkasa huo ni Robert Ndugwa Migadde,…
Raia wa Gabon leo wanapiga kura kumchagua rais wa nchi hiyo kwenye uchaguzi mkuu. Wagombezi wakuu ni rais aliye maamlakani Ali Bongo na mpinzani wake mkuu, Jean Ping ambaye alikuwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ameiagiza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuharakisha mchakato wa kutayarisha Sera ya Diaspora itakayotumika…
Golikipa wa Porto, Iker Casillas pamoja na wachezaji wa Chelsea, Cesc Fabregas na Pedro wameachwa kwenye kikosi cha kocha mpya wa timu ya taifa ya Uhispania, Julen Lopetegui. Wachezaji, Diego…
Rapa wa kike na supastaa wa Marekani, Nicki Minaji na mwenzake Ariana Grande wamejumuishwa kwenye orodha ya mastaa watakaofanya shoo kwenye utoaji wa tuzo za MTV VMA utakaofanyika mwishoni mwa…
Robin Van Persie anatarajiwa kupambana na timu yake ya zamani ya Manchester Uinted kwenye mechi za kombe la Europa ligi baada ya UEFA kuchezesha droo leo. Manchester United imepangwa katika…
Unapenda kukutana na staa gani wa Bongo? Unapenda zaidi wasanii wa tasnia ipi kati ya Bongo Fleva na Bongo movie? Je, mapenzi yako kwa staa wa Bongo yanaweza kukutoa mkoa…
Kocha wa Ubelgiji, Roberto Martinez amemteua mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Barcelona na timu ya taifa ya France, Thierry Henry kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo. Mara baada ya uteuzi…
Shirikisho la Soka barani Ulaya 'UEFA' limengapa makundi kwa ajili ya timu zinazoshiriki michuano ya klabu bingwa barani humo. Makundi hayo yapo kama ifuatvyo.
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Augustine Mahiga amesema Watanzania wengi wanashikiliwa katika magereza ya Afrika Kusini kwa makosa ya kujishughulisha na biashara…
Wakili wa wasanii Pharrell Williams na Robin Thicke amekata rufaa mpya dhidi ya adhabu ya kulipa mamilioni ya dola kwa familia ya marehemu Marvin Gaye. Kesi hiyo ya kuigwa kwa…
Staa wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya mwanasoka bora wa Ulaya kwa msimu wa 2015/15 katika sherehe zilizofanyika nchini Ufaransa. Ronaldo ametwaa…
Mwendesha mashtaka wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ya ICC, ameiomba mahakama hiyo kumhukumu kifungo cha gerezani cha miaka tisa hadi 11 mpiganaji wa zamani wa kundi la…
Kampuni ya Bima ya Afya ya AAR, imetoa msaada wa vifaa vya usafi vyenye thamani ya Sh mil 10 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda lengo…
Klabu ya Manchester City imekamilisha usajili wa golikipa Claudio Bravo kutoka Barcelona. Golikipa huyo raia wa Chile mwenye umri wa miaka 33 anatarajiwa kuanza kwenye kikosi hiko nyuma ya golikipa…
Staa wa Bongo fleva, Shilole amemtetea Bill Nass kwa kusema kwamba hana tatizo na mtu pia ni kijana mtulivu sana. Staa huyo ameongea hayo baada ya TID kudai kuwa Bill…
Waziri wa michezo nchini Kenya, Hassan Wario ameivunja Kamati ya Taifa ya Olimpiki kuhusiana na maandalizi ya timu hiyo kwa michezo ya Olimpiki iliyomalizika Rio de Janeiro nchini Brazil. Waziri…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa inatarajiwa kupata huduma ya maji safi na salama kuanzia mwezi ujao baada ya kukamilika…
Rais wa zamani wa shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA, Sepp Blatter amewasilisha rufaa yake ya mwisho mahakamahi dhidi ya kesi inayomkabili ya kukiuka maadali ya mchezo huo. Blatter…
Msanii nguli wa bongo fleva , Juma Nature amesema kwamba anavutiwa sana na mwanamuziki nyota wa Nigeria, Yemi Alade kutokana na juhudi zake anazozionesha kwenye muziki. Juma Nature amesema anampenda…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amemteua Andrew Wilson Massawe kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kabla ya uteuzi huo…
Winga wa Ubelgiji, Adnan Januzaj ameifungia timu ya Sunderland bao lake la kwanza baada ya kuifunga Shrewsbury 1-0 kwenye mechi ya raundi ya pili ya Kombe la Ligi nchini Uingereza.…
Mwanamitindo maarufu nchini, Flaviana Matata ameushitaki mfuko wa pensheni wa PSPF mahakamani akitaka alipwe shilingi milioni 165 kutokana na kosa la kukiuka mkataba wao wa kikazi. Flaviana na mwanasheria wake…
Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limeendelea na mazoezi yake kwaajili ya ukakamavu ili kujiweka sawa na kupambana na tatizo la uhalifu. Kamishna wa polisi kanda maalumu…
Kocha wa timu ya taifa ya Wales, Chris Coleman amesema majeruhi ya misuli ya paja aliyopata mchezaji wake Aaron Ramsey yatamfanya akose mechi ya kwanza ya kufuzu kombe la dunia…
Kesi inayomkabili Meneja wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Kundi la Tip Top Connection, Babu Tale katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeahirishwa mpaka Septemba 12…
Waziri wa fedha wa Afrika Kusini, Pravin Gordhan amegomea wito wa polisi nchini humo uliomtaka kuripoti kituo cha polisi na kusema kwamba tuhuma dhidi yake hazina msingi. Waziri huyo ameeleza…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema lipo kwenye mpango wa kuwakabidhi kombe jipya la Ngao ya Jamii timu ya Azam FC kutokana na kukabidhiwa kombe ambalo halikuwa lenyewe. Azam walipata kombe…