Tanzia: Muigizaji wa Marekani Afariki dunia
Muigizaji wa filamu za vichekesho nchini Marekani, Gene Wilder amefariki dunia akiwa na miaka 83. Muigizaji huyo kifo chake kimetokana baada ya kuugua ugonjwa wa kukosa fahamu kitaalamu unaitwa {…
Muigizaji wa filamu za vichekesho nchini Marekani, Gene Wilder amefariki dunia akiwa na miaka 83. Muigizaji huyo kifo chake kimetokana baada ya kuugua ugonjwa wa kukosa fahamu kitaalamu unaitwa {…
Waziri Mkuu wa Jamhri ya muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mabadiliko ya mifumo ya ujenzi wa uchumi wa viwanda hayawezi kuletwa na Serikali peke yake bali ni lazima yahusishe…
Klabu ya Southampton imekamilisha usajili wa kiungo wa Morocco, Sofiane Boufal kutoka klabu ya Lile nchini Ufaransa kwa ada ya uamisho ya paundi milioni 16. Boufal mwenye umri wa miaka 22…
Mkongwe wa Bongo fleva, Dully Sykes amesema kwamba hupenda kusaidia wasanii ambao wana kiwango cha kati ili kujitengenezea njia katika maisha yake ya baadae ya kimuziki. Dully Sykes amesema anapoamua…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju amevionya vyama vya siasa nchini kuacha kutumia maneno yanayovunja amani na usalama wa nchi. Masaju ametolea mfano Oparesheni UKUTA iliyotangazwa kufanywa na CHADEMA na…
Lebo maarafu nchini Wasafi Classic Baby 'WCB' inayomilikiwa na mwanamuziki nyota nchini, Diamond Platnumz inatarajia kufungua ofisi mpya Kijitonyama jijini Dar es salaam ambayo itakuwa inajihusisha na masuala ya kiuongozi…
Mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga SC na JKT Ruvu uliokuwa ufanyike Jumatano hii Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam umeahirishwa. Sababu ya kuhairishwa kwa mechi…
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametangaza kuvifungia vituo viwili vya radio vya Radio 5 na Magic FM kwa muda usiojulikana kurusha matangazo yao. Waziri Nape ametangaza…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Beyonce alitawala tuzo za muziki za MTV zilizofanyika mjini New York hapo jana baada ya kupata jumla ya tuzo saba. Beyonce alijishindia tuzo kubwa katika tamasha…
Serikali imesema itaanza zoezi la kuajiri watumishi wapya punde tu itakapokalimisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa nchini. Waziri wa nchi ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma na…
Mshambuliaji wa TP Mazembe, Thomas Ulimwengu amesema kwamba anatarajia kurudi uwanja hivi karibuni kwenye Kombe la Shirikisho Afrika katika hatua ya nusu fainali baada ya kukosa mechi zote za mzunguko…
Rais wa sasa nchini Gabon, Ali Bongo na mpinzani wake mkuu bwana Jean Ping kila mmoja anadai ameshinda kiti cha urais baada ya kufanyika uchaguzi mkuu wa Rais siku ya…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Ruby baada ya kulikacha Tamasha la Fiesta linaloendelea katika mikoa tofauti hapa nchini ameamua kuelekeza nguvu zake kwenye Tamasha la Mziki Mnene linaloandaliwa na kituo cha…
Chama Cha Wananchi (CUF) kimewasimamisha uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, Magdalena Sakaya. Uamuzi huo umetolewa jana na…
Mkali wa hip hop kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja maarafu kama 'Janjaro' amesema sababu inayomfanya azidi kuwa bora kwenye kazi zake ni ubunifu alionao kwasasa tofauti na hapo awali.…
Watu 15 wameuawa na wengine wamejeruhiwa katika mashambulio ya mabomu ya anga katika mji wa Aleppo nchini Syria. Afisa wa Uangalizi wa masuala ya haki za binadamu nchini Syria mwenye…
Waziri mkuu wa Japan, Shinzo Abe ameahidi kutoa dola bilioni 30 za kufadhili miradi ya maendeleo barani Afrika kwa lengo la kuimarisha ukuaji na biashara barani Afrika. Theluthi ya pesa…
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tatu, Banjamin Wiliam Mkapa jana amesherehekea kumbu kumbu ya ndoa yake na mkewe Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt.…
Mwanamuziki maarufu nchini Marekani, Rihanna leo anatarajia kupokea tuzo ya heshima ya Michael Jackson Video Vanguard Award. Staa huyo atapokea tuzo hiyo katika ukumbi wa Madison Square Garden jijini New…
Aliyekuwa makamo wa rais nchini Sudan Kusini, Riek Machar ameruhusiwa kuondoka hospitalini nchini Sudan japo ataendelea kuishi nchini humo kutokana na kundoka Juba wiki iliyopita. Machar alikuwa akitibiwa mguu wake…
Staa wa Hip Hop nchini Marekani, Kanye West ametimiza ahadi yake aliyoitoa Novemba mwaka jana ya kuwagawia viatu vya Adidas mtindo wa Yeezy (Yeezy Boosts) wapiga picha ambavyo yeye ndiye…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Tanzania iko tayari kujifunza kutoka kwa nchi nyingine ambazo ni wanachama wa Mpango wa Kujitathmni Kiutawala Bora barani Afrika (APRM) ili iweze kuboresha hatua ilizofikia…
Matokeo ya ligi kuu nchini Uingereza PL Tottenham Hotspur 1 - 1 Liverpool Chelsea 3 - 0 Burnley Crystal Palace 1 - 1 AFC Bournemouth Everton 1 - 0 Stoke City Leicester City 2 - 1 Swansea City Southampton 1 -…
Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford ameisaidia timu yake kupata alama tatu muhimu baada ya kufunga goli la ushindi dhidi ya Hull City kwenye mechi ya Ligi Kuu nchini Uingereza…
Mwanamuziki nyota wa Nigeria, Davido kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha kwamba anatarajia kuachia albamu yake mpya mapema mwezi Septemba mwaka huu. Albamu hiyo inajumla ya nyimbo 10 amabayo ameipa…
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezindua mchakato wa kujenga mfumo unganishi wa taarifa za ardhi kwa njia ya mtandao wa internet (ILMIS) ambao unatarajiwa kuwa msaada mkubwa…
Staa mkongwe wa Bongo fleva, Lucas Mkenda maarufu kama Mr. Nice ameelezea sababu zilizompeleka nchini Kenya kufanya ziara ya kimuziki. Muimbaji huyo kwa sasa yupo nchini Kenya akifanya show kwenye…
Beki wa Tottenham, Danny Rose ameisaidia timu yake kupata alama moja baada ya kuisawazishia goli dhidi ya Liverpool kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uingereza iliyofanyika katika uwanja wa White…
Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Manji ameunda Kamati mpya ya mashindano baada ya kujizulu kwa Isaac Chanji. Isaac Chanji alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano na akaiwezesha klabu kutwaa mataji…
Mahakama kuu nchini Zimbabwe imetoa ruhusa kwa wafuasi wa vyama vya upinzani kuandamana kwenye mji mkuu wan chi hiyo Harare kuanzia saa sita mchana hadi saa kumi alasiri. Hata hivyo…