Brighter days ahead?
Wiki iliyopita msanii Diamond Platnumzalikiri kufurahishwa na kitendo cha mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu kutoa sapoti kwa msanii Rich Mavoko. Kitendo cha miss Tanzania (2006) kutoa sapoti hiyo kwa msanii…
Should we learn or should we complain?
Wasanii wa Tanzania wamekuwa (kwa miaka mingi) wakifanya jitihada kubwa sana ya kuhakikisha kuwa kazi zao zinafika kwenye nchi za nje ili nao waweze kutambulika kimataifa. Juhudi hizo zinajumuisha mbali ya mambo…
Is it a ‘slip of the tongue or common attitude’?
Kuna msemo wa hekima ya hali ya juu kabisa unasema: Ukitaka kudhihirisha aibu ya mwenzako basi kwanza dhihirisha aibu zako. Kwa bahati mbaya sana, msanii na mkongwe wa Bongo Fleva, Madee…
The ‘SPOTLIGHT’
Waswahili wana msemo wao ‘Mambo ya ngomani huishia ngomani’………Msemo huu kwa ujumla wake unafundisha juu ya hekima ya kumaliza tofauti au mambo yasiyoridhisha ambayo mtu anaweza kuyapitia kwenye maisha yake (bila kutarajia) kisha…
RAYMOND IS THE MOST INNOCENT INTERVIEWEE IN MEDIA?
Raymond wa TIP TOP kama alivyokuwa anajulikana na wengi kabla ya kujiunga na kundi la WCB akitokea kundi jingine la TIP TOP Connection. Ndani ya muda mfupi sana tangu ajiunge na WCB,…
WILL HE CONQUER THE BONGO HIP HOP AGAIN?
Did the HIP HOP miss JAY MOE? Sooner than later we will get to know. Mkali na legendary wa Hip Hop, Juma Mchopanga a.k.a Jay Moe ANAREJEA TENA. Haijulikani iwapo nae ANAAMKA…
LOVE, CONFLICT, HATE & The MISTAKE!!
Unalifahamu jambo kubwa linalowasumbua wasanii karibu wote ulimwengu? Huwezi amini wasanii wengi hufanya jitihada kubwa sana ya kazi zao za kisanii lakini huishia kupotea muda mfupi sana baada ya kupata umaarufu. Tatizo hilo mpaka…
DOES IT HURT WHEN YOUR COMPETITOR GETS HURT?
Wiki mbili zilizopita moja ya habari kubwa ilikuwa ikisumbua kwenye industry ya burudani ilikuwa ni video pamoja na maandishi ya majibizano yaliyoashiria ugomvi mkubwa baina ya mastaa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee a.k.a…