Waziri Nape awakingia kifua BASATA
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linakutana na kufanya mazungumzo na wasanii kabla ya kuzifungia nyimbo zao baada ya kukiuka maadili ya kazi za sanaa. Hayo yamesemwa na waziri wa…
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linakutana na kufanya mazungumzo na wasanii kabla ya kuzifungia nyimbo zao baada ya kukiuka maadili ya kazi za sanaa. Hayo yamesemwa na waziri wa…
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amempongeza Vladmir Putin kwa kutowafukuza wanadiplomasia wa Marekani licha ya Marekani kufanya hivyo kujibu madai ya kuingilia uchaguzi wa Marekani. Trump alituma ujumbe katika…
Watu watano wamefariki na wengine sita kujeruhiwa baada ya kudondokewa na mwamba wa mawe katika mgodi wa zamani wa Resolute uliopo Nzega, Tabora. Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Godfrey Ngupulla…
Mji wa Auckland nchini New Zealnd ndio mji wa kwanza duniani kuukaribisha mwaka mpya wa 2017. Polynesia na visiwa vya Pacific ikiwemo Samoa, Tonga na kiribati pia viliukaribisha mwaka mpya.…
Serikali imepiga marufuku taasisi yoyote ya serikali kutoa taarifa inayohusu sakata la Faru John kwakuwa suala hilo lipo chini ya ofisi ya waziri mkuu na imeshaundiwa timu ya wataalam kulifuatilia…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Solo Thang amesema kuwa akufanya kusudi kuweka video mtandaoni ikimuonesha Chidi Benz akiwa amelewa dawa za kulevya. Solo Thang amefunguka hao baada ya baadhi ya…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Q Jay amsema kuwa mwakani anarudi kamili kwenye anga ya muziki huo baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kutokana na kuokoka. Q Jay kwa…
Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa jeshi la polisi Dar es Salaam limewakamata jumla ya watuhumiwa 13,626 na kuwafikisha mahakamani kwa makosa mbali mbali…
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema Tanzania imebaki kuwa miongoni mwa nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara Barani Afrika, ambazo uchumi wake unakua kwa kasi. Dk…
Shirika la Ndege la Etihad kupitia Kitengo chake cha Uhandisi (Etihad Airways Engineering) kwa kushirikiana na Lental Textiles AG wamezindua maabara ya kipekee ya kwanza Mashariki ya Kati kwa ajili ya wateja…
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlamgosi amesema kuwa mamlaka hiyo imeongoza bei bei ya umeme kwa asilimia 8.5. Ngalamgosi amesema kuwa…
Kassim Salum (18) mkazi wa Buguruni amehukumiwa kwenda jela maisha kwa kosa la kuiba simu aina ya Tecno yenye thamani ya shilingi 110,000 pamoja na kujeruhi. Kesi hiyo ilichukua miaka…
Wakala wa Christiano Ronaldo, Jorge Mendes amesema kuwa Real Madrid imekataa takriban pauni milioni 250 na klabu ya China ambayo haikutajwa jina ili kumnunua nyota wake Ronaldo. Amesema kuwa nahodha…
Muigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Grace Mapunda maarufu ‘Mama Kawele’ amewataka wanawake nchini kuacha kubweteka na kutegemea wanaume kwani kufanya hivyo ni sawa na kuukaribisha umasikini mwenyewe. Mama Kawele aamesema…
Mbunifu maarufu wa mavazi nchini, Martin Kadinda amesema kuwa hana ugomvi wowote na muigizaji wa Bongo movie, Wema Sepetu kama inavyodai na watu. Kauli ya Kadinda imekuja kufuatia kwa taarifa…
Video ya wimbo mkali wa Bongo fleva, Alikiba 'Aje' imefanikiwa kushinda tuzo ya video bora ya mwaka kwenye tuzo za Soundcity MVP 2016 zilizofanyika jana katika jiji la lagos nchini…
Mkali wa vichekeso kutokea Olijiono Komedi, Masanja Mkandamizaji ameachia video mpya ya wimbo wa Injili aliomshirikisha Walter Chilambo.
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Dully Sykes amesema kuwa bifu ya Alikiba na Diamond hawezi kumalizika kirahisi kutokana na wasanii hao kuwa na 'fans base' kubwa ndani na nje ya…
Kocha wa Liverpool, Jorgen Klopp amesema kuwa kiungo wake Philippe Coutinho hatokuwepo kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Manchester City kutokana na kusumbuliwa na jeraha la kifundo cha mguu.…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuwalinda watoto wa kike nchini. Amesema hayo wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi…
Mchezaji nyota wa tenisi nchini Marekani, Serena Williams ameweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mmoja wa waanzilishi wake Alex Ohanian kwenye mtandao wa kijamii. Kupitia akaunti yake katika mtandao…
Rais wa Marekani, Barrack Obama ameamuru kutimuliwa kwa wanadiplomaisa thelathini na tano wa Urusi kufuatia tuhuma za Urusi kuingilia kati uchaguzi wa Marekani kupitia njia ya mtandao. Makazi ya wanadiplomasia…
Kesi ya mkurugenzi mkuu wa Jamii Forum, Maxence Melo imehairishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu hadi Januari 26 mwakani kutokana upelelezi kutokamilika. Maxence Melo anashtakiwa kwa makosa matatu…
Kundi la muziki wa Bongo fleva nchini, Navy Kenzo wanatarajia kuzindua albam yao mpya itakayoitwa ‘Above In A Minute’ siku ya mkesha wa mwaka mpya Jumamosi December 31. Nyimbo zilizomo…
Mwanamuziki mkongwe na mbunge wa Mikumi, Joseph Haule 'Profesa Jay' amesema kuwa anatarajia kufunga ndoa na mpenzi wake Grace mwakani kabla ya kufika mwezi wa sita. Profesa Jay amesema…
Watu zaidi ya 50 wamekufa na wengine wameachwa bila makazi baada ya mafuriko makubwa kutokea kusini magharibi mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Mvua kubwa iliyonyesha maeneo hayo imesababisha kufurika…
Kiungo wa zamani wa timu ya Taifa Stars, Mrisho Ngassa anatarajia kuanza kuitumikia klabu yake mpya ya Mbeya City baada ya hati ya uhamisho (ITC) kukamilika. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti…
Muigizaji wa Bongo movie, Daudi Michael maarufu kwa jina la Duma amesema kuwa hana bifu yoyote na muigizaji mwenzie, Gabo Zigamba kama taarifa zinavyoenezwa katika mitandao ya kijamii. Kauli ya…
Kundi la waasi nchini Syria limesema litakutana na maafisa wa Urusi na wale wa Uturuki kuzungumzia swala la kusitishwa kwa mapigano huko Syria. Kundi hilo Ahrar al-Sham limesema tayari limefanya…
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Argentina, Carlos Tevez amejiunga na klabu ya Shanghai Shenhua ya China akitokea klabu ya Bocca Junior ya Argentina. Carlos Tevez atakuwa akilipwa…